Mildotty
JF-Expert Member
- Jun 29, 2016
- 278
- 198
Punguzeni stori humu jamani tunahitaji picha tulie ugali magetoni.
Punguzeni stori humu jamani tunahitaji picha tulie ugali magetoni.
Ooh basi huenda sikumbuki vyema mkuu! Anyway ni sawa mkuu..Virse versa,kula chakula then malizia matunda ndo utaratibu otherwise ni ulafi tu.kula chakula na sallad ni sawa.matunda na chakula big no labda buffé ya harusini maana yatakwisha.
Ngoja tusubir Ideas za wengine pia!Kwahyo hapo tuichukue principle ipi mkuu
Punguzeni stori humu jamani tunahitaji picha tulie ugali magetoni.


TH tupia picha tule kwa macho

Mambo si ndio hayooArdhi ya ugeniniView attachment 1476059

Ndiyo
Kwanini

Hahahaha hiyo picha ya tu chips ,tuyai na juisi za azam ,imeniacha hoiKwanini
Au chombo changu?![]()
Hahahaha hiyo picha ya tu chips ,tuyai na juisi za azam ,imeniacha hoi
Sent using Jamii Forums mobile app








Naomba recipe ya msosi wako hapo