Uko dieting?


Diet na chips?Hilo bakuli la pili ni miguu ya kuku?
Hizi chips za kuonja nyingine zinakuja
Ndiyo hizo hizo.Hizi chips za kuonja nyingine zinakuja
Au ndio hizohizo?

Alieandaaa hv nmemkubal duh
Are you vegetarian? Naona hakuna nyamaKaribun lunchView attachment 1474974

Ipo japo kidogoAre you vegetarian? Naona hakuna nyama

,yes I'm vegetarian napambana ni mantain Hb yanguAiseeeNdiyo hizo hizo.
Eti ndo chakula kikuu.
Ilianza ice cream.
Wakati nasubiri huo mlo mkuu![]()




Hujaona hiyo mikate miwili hapo? Ina nyama na makorombezo katikati.Aiseee
Mimi ningeondoka sijashiba![]()


ika nilivyofika home nikala tena mkate na chai.Hb unamaanisha nini? Between chakula chako wamepunja nyama mchuzi maharage.Ipo japo kidogo,yes I'm vegetarian napambana ni mantain Hb yangu
Haemoglobin level(wingi wa damu),,usijari my ntakutumia lunch,Hb unamaanisha nini? Between chakula chako wamepunja nyama mchuzi maharage.
Halafu leo hadi mda huu sijui nitakula nini.
Nipo tu kitandani ninachat.
Hata sijaweka mazingira ya kupika


Ooooooo.Haemoglobin level(wingi wa damu),,usijari my ntakutumia lunch,![]()


.