Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Sijawahi kujaribu eti.
Ila nimewahi kula mlenda pori uliotiwa karanga za kutwangwa.
Mlenda pori ndo ule wa hina? Sasa karanga za kutwanga utatoa wapi? Katia mlenda nyanya moja weka na peanut butter utanishukuru.

Mie mlenda napenda kuula kama hivo umepika nije niule niukombe ila si kupika na sijawahi kupika maisha yote.
 
Napenda sana, hivi umeshawahi kunywa chai ya maziwa iliyowekwa majani ya mhiliki(mti wa hiliki)?

ᵃʳᵉᵉᵐ
Kuna jirani yetu kwa wazazi mpare kwao kuna muhiliki so huwa analetaga hiriki mbichi na majani yake.
Nishawahi.

Napenda chai ya maziwa ikolee hiriki abdalasini, majani ya chai vanilla kidogo karafuu moja na tangawizi itokeze.
Huwa tamu balaa
 
Mlenda pori ndo ule wa hina? Sasa karanga za kutwanga utatoa wapi? Katia mlenda nyanya moja weka na peanut butter utanishukuru.

Mie mlenda napenda kuula kama hivo umepika nije niule niukombe ila si kupika na sijawahi kupika maisha yote.
Karanga zipo mimi mkulima
Sema sipo nyumbani kwa Sasa,nikirudi nitajaribu.

Kuna aina nyingi nyingi tu za mlenda pori..mie naujua kwa majina ya kikabila.
 
Kumbe unakaranga.
Basi unazisaga kwenye ile blender ya vitu vikavu unaweka.
Mlenda ule wa kama hina unapatikana kwa wingi Dodoma mzuri sana hasa ukiwa na mchuzi wa nyama na ugali na maziwa mtindi.
 
Huwa natwanga na kinu ili zisagike vizuri.
Tumezoea kuweka karanga kwenye mboga nyingi za majani sijui kwanini sijawahi jaribu kuweka Kwenye mlenda.

Kumbe Dodoma upo eeh??
Ngoja nitafute mwenyeji Dom niende kupika
 
A town amazing
IMG-20200415-WA0068.jpg
 
Huwa natwanga na kinu ili zisagike vizuri.
Tumezoea kuweka karanga kwenye mboga nyingi za majani sijui kwanini sijawahi jaribu kuweka Kwenye mlenda.

Kumbe Dodoma upo eeh??
Ngoja nitafute mwenyeji Dom niende kupika
Madam huoni shida kutwanga kwenye kinu.
 
Back
Top Bottom