Uzi wa vyakula tu

Akhsante Sana mkuu..
Naamini nitapona japo kuna muda nahisi Kama nakufa hivi,tumbo linauma vibaya mno.

Pole pia na akhsante kwa kunitia moyo
...I really appreciate this
Pole sana aisee ulcers sio mchezo. Kaka yangu aliwahi kubahatisha dawa ya kienyeji akapona kabisa japo mtu aliemuuzia walishapotezana. Endelea kusaka dawa unaweza kubahatisha.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…