Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Huo wali upo kidogo mnoDuh! Ila mtoto wa kike kula kidogo sunna ujue








Huo wali upo kidogo mnoDuh! Ila mtoto wa kike kula kidogo sunna ujue








AngalizoHuo wali upo kidogo mno![]()

usije pata kitambi, na kwa mdada haipendeziHapo mkimaliza ni mashuzi tu,bwii,kabooooom,pratatatatr fyuuuuuuu kitkatkitkat 😀Hii inaitwa mtoto atumwi dukani
#NdondolawikiendiView attachment 1464773
Hahaha! Duuh!Hapo mkimaliza ni mashuzi tu,bwii,kabooooom,pratatatatr fyuuuuuuu kitkatkitkat![]()
Angalizousije pata kitambi, na kwa mdada haipendezi









Hmm! Nitaaminije sasa
Nina kitumbo kiduchu hadi najishangaa
Hivyo hivyo tu mkuu...Hmm! Nitaaminije sasa
Aah mi simo hapo Kandahar ni mabomu tu 🙃Hahaha! Duuh!
Hmm! Kila lakheriHivyo hivyo tu mkuu...
Ndiyo maana nataka niongeze ujazo wa chakula walau nijaze tumbo kidogo
Akhsante bossHmm! Kila lakheri
naomba recipes ya chapati zako
Ahaaa asante..chapati zinasumbuaga kweliNakandia na samli ya aseel na chapati hazina recipe ya hivyo ni ukandaji wako tu nakandia maji ya baridi na chumvi na samli bs
Ahaaa asante..chapati zinasumbuaga kweli
Vp kuhusu unga wanasema sijui azam ppf ndo inatoa vizuri,,ni kweli?
Hiki chakula


Hahaha! Unakula nyanaya chungu wewe? Na mlendaHiki chakula
Hapa naweza kubali kula ugali kila siku