Saint Anne
JF-Expert Member
- Aug 19, 2018
- 77,819
- 233,246
Akhsante Sana mkuu..Binafsi naelewa ni magumu gani unayopitia kutokana na ulcers, kwani nilishawahi kusumbuliwa na peptic ulcers wayback 2004/5 yaani maumivu niliyokuwa nayapata ni wakubwa mno ndio maana nikisikia mwengine abasumbuliwa na ulcers I got the feelings.![]()
Naamini nitapona japo kuna muda nahisi Kama nakufa hivi,tumbo linauma vibaya mno.
Pole pia na akhsante kwa kunitia moyo

...I really appreciate this 



ᵃʳᵉᵉᵐ 
ndio msosi wangu huo siku za wikiendi

