Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Mchana ndio huu muda wa kuufinya
IMG_20200529_182446_1.jpg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Huwa natumia maziwa fresh
Maziwa ya mgando sinywi kabisa..hivi na fresh hayafai??

Akhsante kwa ushauri mpenzi
Nitazingatia..
Ubarikiwe.

Actually ya mgando ndio mazuri (yana bakteria ambao wanasaidia kupunguza bacteria wanaosababisha ulcers , H.pylori) ila ya fresh sio mazuri. Acha kabisa for now.
 
Hongera...hongera zake jamaa anaekumiliki...hakika unastahili kuwekwa ndani, ungepata mume kama mimi ungeinjoy sana. Kila siku ingekuwa naingia jikoni mwenyewe someday tungekuwa tunashindana!
Mashallah mashallah.. kumbe umpishi mzuri ee... hongera sana!! Mwenye nafasi yake atakuja mtaahindana

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom