kijazi07
JF-Expert Member
- Feb 14, 2016
- 1,035
- 2,211
Ili upoe aseeh
Mbona umeukata ivo ugali?
Mbona umeukata ivo ugali?
Haya bwana,siku ingine uache upoe wenyewe.Ukikata Ivo unajua kama umemkatia mtoto.Ili upoe aseeh![]()
Haya bwana,siku ingine uache upoe wenyewe.Ukikata Ivo unajua kama umemkatia mtoto.
Napikiwa huo unachukua muda mrefu sana kuandaa na kupika Sina huo mudaUmepika mwenyewe au unapikiwa?
AhsanteMashallah mashallah.. kumbe umpishi mzuri ee... hongera sana!! Mwenye nafasi yake atakuja mtaahindana
Sent using Jamii Forums mobile app


Yupo na hapendi niingie jikoni.
naomba recipes ya chapati zakoPole sana aisee ulcers sio mchezo. Kaka yangu aliwahi kubahatisha dawa ya kienyeji akapona kabisa japo mtu aliemuuzia walishapotezana. Endelea kusaka dawa unaweza kubahatisha.Akhsante Sana mkuu..
Naamini nitapona japo kuna muda nahisi Kama nakufa hivi,tumbo linauma vibaya mno.
Pole pia na akhsante kwa kunitia moyo...I really appreciate this
![]()
Akhsante dearPole sana aisee ulcers sio mchezo. Kaka yangu aliwahi kubahatisha dawa ya kienyeji akapona kabisa japo mtu aliemuuzia walishapotezana. Endelea kusaka dawa unaweza kubahatisha.


Huo wali kwa vyovyote ni mtamu sana,,Heri ya mwezi mpya wandugu View attachment 1465517

Hahahaha ! UjakoseaHuo wali kwa vyovyote ni mtamu sana,,![]()
Unaonekana tu kwa macho kuwa ni mtamu..Ila uko kiduchu Sana..mie nisingeshiba.Hahahaha ! Ujakosea
Duh! Ila mtoto wa kike kula kidogo sunna ujueUnaonekana tu kwa macho kuwa ni mtamu..Ila uko kiduchu Sana..mie nisingeshiba.