ighalamu
JF-Expert Member
- Dec 26, 2019
- 393
- 664
Naam! Karibu la kibachela
Umewazidi wanawake waallah
Lakin sikushangai mie baby anajua kupika vyakula aina nyingi sana
Hahaha! Asante,Umewazidi wanawake waallah
Lakin sikushangai mie baby anajua kupika vyakula aina nyingi sana
EwaaaaraKaribuni eid nimemaliza kupikaView attachment 1458335View attachment 1458336View attachment 1458337
mama wawili




Maharage hayana ushirikiano kama ya boarding duh yamesimama ka vidoleWali,Maharage nimeyaroast kidogo.
Yai
Parachichi
Smoothie yangu
View attachment 1454509View attachment 1454510
Sent using Jamii Forums mobile app
Maharage hayana ushirikiano kama ya boarding duh yamesimama ka vidole
Sent using Jamii Forums mobile app




yes kuna kitu nilikuwa namuuliza na kanijibu vyema kabisa
Asante