princess ariana
JF-Expert Member
- Aug 19, 2016
- 9,655
- 19,271
nmezitia maziwa na sukariYaani hadi nimeramba simu, achana na ndizi mbivu za nazi. Ugonjwa wabgu huu
Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
nmezitia maziwa na sukariYaani hadi nimeramba simu, achana na ndizi mbivu za nazi. Ugonjwa wabgu huu
Sent using Jamii Forums mobile app

Njoo mana nmechoka kusugua masufuria mikono ina ngeu za kila aina

Njoo mana nmechoka kusugua masufuria mikono ina ngeu za kila aina
Sent using Jamii Forums mobile app

Nikupe heshima yako mkuu kwa kuandaa misosi mizuri
Hii ni sekela au tandoori?
Hii ni sekela au tandoori?
Sekel/ tandoori same thing
Sent from my iPhone using JamiiForums