kajojo
JF-Expert Member
- Jun 9, 2012
- 2,946
- 5,487
Wazee wa diet hapa lazima wanyoshe mikono juu.... Mtatumaliza jamani
Wazee wa diet hapa lazima wanyoshe mikono juu.... Mtatumaliza jamani
Mnh wapi hii jamani looks delicious

Ni Kwenye mgahawa wa kifaransaMnh wapi hii jamani looks delicious![]()
Unatuonesha kuwa umepanda ndege kupitia Zanzibar
Unatuonesha kuwa umepanda ndege kupitia Zanzibar
Mtajuaje sasa, tuvumilie wabongo ndege tumezijulia ukubwani![]()
![]()
![]()
Mtajuaje sasa, tuvumilie wabongo ndege tumezijulia ukubwani
Kuna mpare hapo yeye akiona picha anashushia ugaliNikitembeleaga huu Uzi napata njaa Kali sana
Dah... Minyoo yangu kaa kimya mjini kuna vya watu


nipe order nikupikie chochote unachotaka

Nilikulaga supu kama hii mahali.. Dah nusu niombe na hotpot niende nayo.... Ni tamu balaa
