Ohoo swaga tu![]()
Rahayabirianiulekwamkono
njaa
He means kwamba anaskia njaa hivyo kascreenshot InstagramNjaa wakati chakula ndio hicho,what do you mean![]()
Hahah poapoa mzee baba

Mama uwe unachambua hao dagaa kwa kuwatoa vichwa,halafu yale makubwa makubwa pia uyatoe
Hii kwa Watoto ni balaa
Hawa ni wale walio kaangwa wakiwa wabichi huko mwanza,hawana mchangaMama uwe unachambua hao dagaa kwa kuwatoa vichwa,halafu yale makubwa makubwa pia uyatoe
Oooh,okay sawaHawa ni wale walio kaangwa wakiwa wabichi huko mwanza,hawana mchanga