Inna
JF-Expert Member
- Jan 13, 2017
- 11,194
- 27,089
Apa mkianza kula hadi mnakwangua ukoko
Apa mkianza kula hadi mnakwangua ukoko

Wahi mkwe nafasi ni chacheMkwe![]()

Wahi mkwe nafasi ni chache![]()
Huu ndio ule wa masanja nini
Unafika hadi Kenya sembuse hapo tu zenjiSina hakika kama umefika znz
Unafika hadi Kenya sembuse hapo tu zenjiSina hakika kama umefika znz
Vinini hivi unapikaNdo nipo nakipika ghettoView attachment 1084021
Iyo ni mchembeVinini hivi unapika
We dada yo a killing me yooo
Mama Mkwe unanitenga.Tena unifundishe mapishi ya iyo kama masala chicken au ni nini hio?
Mama Mkwe unanitenga.
Yule jamaa wa kuitwa Sankara ana Mke halafu hajakwambia ukweli!
Asante Mkwe. Nitajitahidi nionekane.Hahahahaha hilo najua wazi,sijakutenga mkwe wewe ndio huonekani?