minji
JF-Expert Member
- Sep 2, 2016
- 2,750
- 4,948
Ahahahaahh, kwa kweli sitoruhusu hili litokeee.Mimi sina tatizo ila omba ruhusa kwa mkwe wangu THOMASS SANKARA mana ana ulinzi mkali kwa mchumba ake
Sent using Jamii Forums mobile app



Mimi nachanganya na asali. Kama vile ugali na mlenda

Ndizi mzuzu, roast ya kuku na kinywaji changu pendwaaaa chai.
Mkwe farkhina chai yetu ile "ajaab"View attachment 1049283
Sent using Jamii Forums mobile app
Mimi nachanganya na asali. Kama vile ugali na mlenda
Ndiyo kabisa
shikamoo bibi
Kabisaa sijui unatoka zanzibar