cabo
JF-Expert Member
- Jun 15, 2016
- 4,772
- 5,308
Hongera sana aisee. Acha kulia we si unaitwa dingimtoto sasa inanipa uvivu kumalizia lote, huwa naona wengine wanakatisha wanakuita dingi mimi nimeamua nichukue la mtoto
Sent using Jamii Forums mobile app



huo uvivu ukupate basi kutamka KUNDUCHISent using Jamii Forums mobile app

hiii nimeweka na tangawizi kwa mbaaaaali kama ulivyonifunza mkwe
