Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,015
- 828,774
- Thread starter
- #7,021

View attachment 998372
Mkwe THOMASS SANKARA iliungua ndio ya kwako
Sent using Jamii Forums mobile app
Ohhh nimeikumbuka,nimewahi pika wakati nipo nafanya cooker secondary.
Af ilikuwa ramadhan ikabidi nibebe nkalie nyumbani.
Sent using Jamii Forums mobile app


,unakopa vya sh 100 wakati hela yenyewe nyumbani unapewa sh 150 siku ya kulipa unajuta
Na vileja ushakula 🤣🤣🤣🤣🤣. Alafu sh 50 ilobaki unanunua mihogo ya sh 40 na lai (ice cream ) sh 10 .
Sambusa ulinunua sh.30. Kumbe Farkhina Mkubwa kiasi. Nilikuwa najua wewe kama miaka 22 ikizidi 25!!Nilivokua primary kuna bibi alikua anauza ndogo ndogo lakini tamu bei nshasahau,sambusa za nyama ilikua sh 30 mkate wa ufuta sh 150 na juice ya ukwaju chupa ndogo sh 50 kubwa 100.
Mwalimu wetu wa darasa alikua anauza vileja vitamu sh 20 huwa mie ndie muuzaji wake vikibaki tunakopeshwa,unakopa vya sh 100 wakati hela yenyewe nyumbani unapewa sh 150 siku ya kulipa unajuta
Na vileja ushakula 🤣🤣🤣🤣🤣. Alafu sh 50 ilobaki unanunua mihogo ya sh 40 na lai (ice cream ) sh 10 .
Tumetoka mbali sana![]()
Sent using Jamii Forums mobile app