Mkuu ile glass ya pembeni ni juicy ya mapera ama??
imefanyiwa featuring....
Jr
Hivi vinakuaje.
Halisi kabisa huo utamu wake
Hivi vinakuaje.
Nilishaazimia kuanzia mwaka huu naanza kujipikia, nitakula nje pale tu muda unapokosekana
Sent using Jamii Forums mobile app
Hivi vinakuaje.
Nilishaazimia kuanzia mwaka huu naanza kujipikia, nitakula nje pale tu muda unapokosekana
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante sanaVitumbua vya kuku
Vitumbua vya kuku - JamiiForums
Recipe iyo apo,kazi kwako.
Sent using Jamii Forums mobile app
We mwanamke ni shida aseeee daah!
Mkwe hivi haya yote unamfundisha mchumba angu au unamficha baadhi ya ufundi?? farkhina
Mkwe hivi haya yote unamfundisha mchumba angu au unamficha baadhi ya ufundi?? farkhina
Sent using Jamii Forums mobile app
Hebu futa hicho kikaragosi basi
Jr