dingihimself
JF-Expert Member
- Jan 9, 2016
- 9,802
- 20,296
Hii ni diet maana
Hii ni diet maana
Mdudu on fleak..
Hii uswazi tunaita wali ndondo
Sisi tunaita pizzaHii uswazi tunaita wali ndondo

Ooho!!Sisi tunaita pizza![]()
Aisee,hilo arage ukimpiga nalo mwanangu wa miaka 2 lazma aumie
Mzee wa kudiss kila kitu.. Wewe hulagi au ndio upare unashushia vyakula vya huku kwa maji unalala?Aisee,hilo arage ukimpiga nalo mwanangu wa miaka 2 lazma aumie


Jamaa always yupo negative..Mzee wa kudiss kila kitu.. Wewe hulagi au ndio upare unashushia vyakula vya huku kwa maji unalala?![]()
Kawaida watu kama hao hawakosekanagi sehemu yoyote lazima upate virus kama hizo.Jamaa always yupo negative..
Yaani nikisikiaga tu njaa,naingia huku naangalia misosi ya kina missyrose maana yeye ndie anaejua kupika pekee,halafu nashiba nakunywa na maji kabisaMzee wa kudiss kila kitu.. Wewe hulagi au ndio upare unashushia vyakula vya huku kwa maji unalala?![]()
Jamaa always yupo negative..
Tulieni nyinyi mimi ni food copKawaida watu kama hao hawakosekanagi sehemu yoyote lazima upate virus kama hizo.
a.k.a table leader,lazma nihakikishe usalama wa misosi ndio maana natoa maelezo ili next time msirudie kula vitu vya ajab.HahahaYaani nikisikiaga tu njaa,naingia huku naangalia misosi ya kina missyrose maana yeye ndie anaejua kupika pekee,halafu nashiba nakunywa na maji kabisa


Unashiba kwa picha? Aisee una maisha mazuri sanaYaani nikisikiaga tu njaa,naingia huku naangalia misosi ya kina missyrose maana yeye ndie anaejua kupika pekee,halafu nashiba nakunywa na maji kabisa
Aisee umeamsha minyoo yangu...Week ndio hiyo inakwisha taratibuView attachment 926015
Pole kamanda!Aisee umeamsha minyoo yangu...
Bibi wewe usichukulie kila kitu serious ndo maana wanagawa namba yako humu ndaniUnashiba kwa picha? Aisee una maisha mazuri sana
