Mshana Jr
Platinum Member
- Aug 19, 2012
- 360,102
- 828,981
- Thread starter
- #4,521
Lost ni kupotea nadhani ulitaka kusema roast... BTW iko vizuriLost ya Kuku aliyechambuliwa vizuri na kuandaliwa kiasiliView attachment 922058
Lost ni kupotea nadhani ulitaka kusema roast... BTW iko vizuriLost ya Kuku aliyechambuliwa vizuri na kuandaliwa kiasiliView attachment 922058
Lost ni kupotea nadhani ulitaka kusema roast... BTW iko vizuri
ungeminya tu hhhhHapo nimekubali Mkuu.Hundred percent localView attachment 922403
Kwa raha zako nakucheki.
Acha kabisaKwa raha zako nakucheki.

Lost ni kupotea nadhani ulitaka kusema roast... BTW iko vizuri
Hapa sasa nimeamini sio ya kudownload baada ya kuona pete za bahati

Huo ushahid wa pete za bahat kaniwekea mimi rose![]()
![]()
na ushahidi juu.

Niko vizuri mzee babaUnaonekna uko vizur kwenye sekta ya mapishi.
Hivi huyu Mvuto unamaanisha Mohamed Mvuto au mwingine?Sijui kama lina ratiba ila anapika hatare hataree.tatizo anapumuliwa sijui Na huu msako kama amesalimika.humjui mtu anajiita mvuto wewe?
Hehehee unapenda kwio eeh