Mrs Van
JF-Expert Member
- Mar 9, 2016
- 7,767
- 17,800
Kwakweli maana mapocho pocho yamepoa kabisaYuko kwenye mfungo naona
Kwakweli maana mapocho pocho yamepoa kabisaYuko kwenye mfungo naona
Nimeanza kuskia harufu huku nilipo.
Karibu kabla haijaishaYumii![]()
Hapo sawa.
Asante! Hayo pembeni ni maziwa?Karibu kabla haijaisha
Gadeem!!!...What a breakfast!!Hello Good morning....!! Brothers and sisters View attachment 898572
Hahaha!! Kifungua kinywaGadeem!!!...What a breakfast!!
Ooh nina aleji naoMtindi![]()

Ooh nina aleji nao![]()
Mkuu hio mboga wengine ndo wanalia ugali mchana!!Hahaha!! Kifungua kinywa
Soseji nini nini!!..that's cool
Soseji kama zoteeSoseji nini nini!!..that's cool
Ndio ndio..kula maisha mremboSoseji kama zotee
Itabidi nijizoeshe kula avocado hvi hvi halipandi kabisa.