Uzi wa vyakula tu

Mbona unataka kumchuna?
Hii case ishakua ngumu
Ma mkali uwe na usiku mwema.
mm nalala.

Mm mapema sana leo. Nina ratiba ya kuamka saa 9 usiku 😣😣😣 nina kasafari.

Alafu naomba uwe makini . Maana Nimeweka wanasheria wawili kuangalia maneno ya shem ephen_ dhidi yetu.
ila aaaagh. Nitawatoa na hela yote ya mawakili nitakuwa nampa yeye.😊😊😊.

Kwahiyo atakula Ushemeji allowance, na hela ya mawakili.
Sasa sijui atake nini tena kwangu.πŸ˜ŠπŸ˜ŠπŸ˜‹

Usiku mwema pia shem wangu kabisa ephen_
 
win-one atalala vizuri leo! Kashasikia ahadi ya sasampa.
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…