Uzi wa vyakula tu

Hahaha mkuu umenikumbusha juzi nilienda harusi ya mdogo wa rafiki yangu, nikajikuta nimepiga selfie na pilau kabla hata ya kuanza kugawa... watu wakasema nimepoteza akili πŸ˜‚πŸ˜‚ Lakini chakula cha sherehe kina nguvu ya kipekee, hasa ule wali wa nazi na maharage ya nazi... mmmh! bana
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…