Dr am 4 real PhD
JF-Expert Member
- Jun 30, 2016
- 20,116
- 41,722
Nimejifunza jambo hapa.. teh teh tehπSasa huyo samaki kwa watu washenzi, wanampindua wanakula upande wa pili..
Kwa sisi wastaarabu tunatoa mwiba wa kati, tunakula nyama iliyobaki.
Usiende kuchumbia ukawekewa samaki, ukala uapmde mmoja kisha ukampindua kula upande wa pili, sehemu nyingine unapigwa makofi na mke unakosa...
Zingatia
KUMPINDUA
KULA UPANDE WA PILI
Asione dr. Janabi... ππ€£
Lipi? ππ€£Nimejifunza jambo hapa.. teh teh tehπ
Maelezo Yako yamenifunza mengiiLipi? ππ€£
Atakuja na nadharia kuchanganya matunda ni SUMU MWILINI πAsione dr. Janabi... ππ€£
Nyama ziko wapi sasa?Ukiwa mpishi ni ngumu sana kuridhika na chakula walichopika and wengine. Michicha imelegeeeeaaa π
View attachment 3637370
Yahani wewe unayo matatizo, kwamba chakula kinakuletea kiungulia halafu ugali na mchele havikusumbui!!?.mi ndizi sijawahi kuzielewa kabisa mara nyingi nikila zinaniletea kiungulia, myfvrt ni pilau, mihogo ya kuchemsha, magimbi na ugali dagaa,,
huku nilipo kuna mahali wanauza kuku ndimu yani kachomwa alf katiwa ndimu kama yote ni mtam balaa
Samaki huyo pembeni ameekewa karoti kwa juu.Nyama ziko wapi sasa?
kwan ugali na mchele sio chakula jamni,,,Yahani wewe unayo matatizo, kwamba chakula kinakuletea kiungulia halafu ugali na mchele havikusumbui!!?.
Ndizi ndo chakula vingine viite kwa majina.kwan ugali na mchele sio chakula jamni,,,
ni baadhi ya vyakula sio vyote
Yule mzee ni mduwanzi sana π€£Atakuja na nadharia kuchanganya matunda ni SUMU MWILINI π
Noma sanaAsione dr. Janabi... ππ€£