Kwa hili zege la leo kwakweli nilikua nimejipata πWew ndio upo dunian sas π
ππnikimaliza wiki bila kula zege, kipaja na pepsi huwa nahisi kuishiwa dam π natamani niache maana natokewa na kitambi
Na vile ni kiziwi... Hapo mkuu utahisi kama unaskia πKwa hili zege la leo kwakweli nilikua nimejipata π
We jamaa unajaza server kuleta matakataka,
Samahan mkuu sirudii πWe jamaa unajaza server kuleta matakataka,
Hamna chakula popote umeweka.
Embu baki huko huko na vitu vya wamama.