Uzi wa vyakula tu

Afu eti saa hizi tumbo bado linataka tena na mihayo juu ya kupasua taya msamba.....!!

Nauza tumbo, nipeni bei...

Kama maini, figo na bandama vinauzika, mie nalinadi tumbo jamani, mwenye kulihitaji... bei maelewano.
Embu tulione lilivyo
 
Jana nimekula biskuti za bange ujue sijui kwann hata nimekutag huku πŸ˜…πŸ˜… hichi kichwa hichi kipo resi sana.

Anyway huo ugali mbona fujo sasa
Bange ilikutuma unikumbuke...πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Ugali wa hatari sana huo hapo ukimaliza unatakiwa utembee at least km 5...
 
Bange ilikutuma unikumbuke...πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ
Ugali wa hatari sana huo hapo ukimaliza unatakiwa utembee at least km 5...
Nakukumbukaga sana bestie angu chaupoleβ˜ΊοΈπŸ˜‰

Kwa Huo ugali lazima uongeze nguvu za chululu πŸ˜† maana sio kwa ukubwa huo aseee hiyo ni tiba tosha kwetu wanaume. Badala ya kutembea km 5 unakuwa na pumvi ya masaa ma 5!
 
Nashukuru sana bestie angu cha utundu😊😊😊
Mm huo siuweziii ni wenu nyie...hahahaha
 
Wakuu kuna kenge hapa nimemuweka kwenye 18, Ni watamu kweli au yule mwamba anatuleta?

Nisije uwa kiumbe asiye na hatia nikashindwa kumla..
 
Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…