Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Ila mzabzab kwahiyo mimi nimekalia kudinywa tu!! 😹😹😹
Hahahah yaani mazungumzo yote wee umeona kudingwa tuu. Hujaona ugali huo na thamaki mzuri.
Baadala ya kesema mzabzab nitakupikia chakula kizuri zaidi ya hicho umewaza kudinywa tuu
 
Hahahah yaani mazungumzo yote wee umeona kudingwa tuu. Hujaona ugali huo na thamaki mzuri.
Baadala ya kesema mzabzab nitakupikia chakula kizuri zaidi ya hicho umewaza kudinywa tuu


Aahahahahaa ni dawa ya mwili...😁.
 
lvnch4breakfast-20250707-0001.jpg
 
Haya leo wapika nini mchana nije kudoea maana hapa moja haikai mbili haikai...huyu mke wangu Lamomy naona kalala kwa mcheps wake hivyo ata chai sijanywa hapa nilipo


Aahahahahhaaa looh nimechekaa.

Huku nimeweka pozi kwanza kuposti misosi ntarejea kama baqda ya miezi kadhaa kama si mwaka. Ila ntakuwa napitq kuangalia mapishi yaliyopostiwa.

Nimerejea kwa nguvu zote uzi wa vituko, nimegundulika nina akiba nyingi sana mwilini ya bandama. Vimbwenga vya uzi wa vituko vitanipunguzia wingi wa bandama mwilini.

Wacha ntakusaidia kumfundq mkeo awe anakupikia chakula chamoto kila siku.

Mwanamke jiko lake halitakiwi kupoa, ukitoa chungu unainjika chungu... hata usiku wa manane mwnaamke ukiombwa chakula unawasha jiko unatenga msosi mezani shurti wa nyumbani kwako wasikae na njaa.
 
Back
Top Bottom