Mnyama kapakatwa 🤣🤣🤣🤣Maandalizi ya jion wakat wa mechi ya mnyamaa
Mnyama kapakatwa 🤣🤣🤣🤣Maandalizi ya jion wakat wa mechi ya mnyamaa
Ugali wakilingeni huo...ukula huo hukosi mchumbaHuo ni ugali wa nini?
Dagaa Nyamanono?Dagaa nyama nawapatia wap sijawala miaka mingi sana
Huku kanda ya ziwa sijawaona sana
Hahaaaa dakika 10?View attachment 3342808
Na lake halipooo.....😋😋😋😋
Yaani kuna vyakula vitamuuu, unakula halafu unakula tena ila njaa haikati....😋😋😋
Hapa tumbo jeupeee wakati dakika 10 zilizopita nimetookaa kuufinya....😢
Menu simple lakini attractive. Hapo akiwekewa Matunda mchanganyiko pembeni, mteja analipa 5000 bila ubishi
Hahaaaa dakika 10?
Kuna tatizo tumboni?