Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

IMG-20250516-WA0017.jpg


Sisemi naee, sisemi naee....

Huyo nunga embe.....

Adidididididiiiii

Aweeeehhh....πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹
 
Meno unayo ee,ya Kula vitam vitam muda wote.Wengine Meno tunayabembeleza mwaka unaeza Isha hata bubble gum sijatafuna.

Zamani meno yalikuwa yananisumbua sana kutoboka nafikiri sababu ya kula vitu vitamu. Na nilikuwa napiga mswaki asubuhi kwa asubuhi....

Ilikujaga dawa ya meno ya asili sikumbuki jina lake ila ilikiwa inapicha ya mdomo wazi wenye meno yananonekana. Ilikuwa enzi za kina ngetwa na ngoka11, nakumbuka nilitumia mikebe 2 tangu hapo napiga mswaki asubuhi na jioni na haijawahi nirudia tena shida ya meno.

Nimedhibiti ulaji wa vyakula vyenye sukari ila nikipata nafasi/wasaa navitafuna kama ambavyo wanaume hawalazii damu mbususu iliyonona...😁😁.

Kama hapo ndo nimemalizia vile vipakti 2 na hapo nina kitambo sijala Snickers...

Naomba Mungu meno yasinisumbue tena ili nipatapo hamu niweze kutafuna hizo sukari, kuna kipindi napataga uraibu wa ice cream... Acha tuu...πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹.
 
20250519_181230.jpg


Kichangamsha mdomo walau mdomo usichache wakati unasubiri msosi....πŸ˜ƒπŸ˜ƒπŸ˜ƒ

Hakyamama tumbo ni mfilisi wa maendeleo ya mwanadamu.....

Dunia yafaa nini bila kuwa na chakula....

Kuna chakula cha mwili....

Chakula cha akili.....

Chakula cha roho.....

Kazi kwako, kupanga ni kuchagua πŸ˜‰πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹.
 
20250519_193118.jpg


Mimi na akili yangu na mwili wangu tumechagua kulitumikia tumbooo....πŸ˜πŸ˜πŸ˜πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹.

No wonder asili yangu ni NaMtumbo...πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…πŸ˜…

No offense pliiiiz, it's just food πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹πŸ˜‹.
 
Back
Top Bottom