binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 13,110
- 34,405
Labda mkuu Swahili AI Amehakiwa, Hizi picha alitakiwa kuweka kwenye uzi wa warembo world wide.Uzi mbona umeingiliwa ten
Labda mkuu Swahili AI Amehakiwa, Hizi picha alitakiwa kuweka kwenye uzi wa warembo world wide.Uzi mbona umeingiliwa ten
Jamaa kaamua kutupa Vitus.Mwana unazingua huu siyo uzi wake tuwekee misosi
Bangi mbichi hizo, hapo yuko nyeto huyo hasikii wala kuelewaMwana unazingua huu siyo uzi wake tuwekee misosi
Magingi matamu ukigonga na chai ya rangi
Ukimaliza hapo ukae mbali na watu lasivyo ni kuwadondoshea mabomu tuu