Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,844
- 52,251
@missyrose hivyo viazi?
Umeweka nini?
Nimepika wali sina hamu nao kabisa
Nipe wazo sijala toka jana.
@missyrose hivyo viazi?
Hivyo nimeweka curry powder, thomu, chumvi na pilipili manga..nikaoka kawaida.@missyrose hivyo viazi?
Umeweka nini?
Nimepika wali sina hamu nao kabisa
Nipe wazo sijala toka jana.