Haya matunda yanauzwa wapi?View attachment 3032348
Jamani tunda, ntalipataje tundaa...
View attachment 3032349
Tunda tam tam, ntalipataje tunda...
View attachment 3032350
View attachment 3032351
Tunda nalipenda, ntalipataje tundaa...😋😋😋
Ugonjwa wangu
Haya matunda yanauzwa wapi?
Yummy
SawaSina hakika na asili yake ni wapi, ila ukienda soko la uhindini Kisutu/Posta yapo. Japo si muda wote, yanakuja kwa msimu.