Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

1708427948201.png
 
Basi siku nyingine ukinunua jiko la gas tafuta yenye plate moja ya umeme, huwa kana-save sana siku kama hizi!

Microwave kanisaidia Depal ...naongezea na Von kama yangu. Kamuonekano kake pia si haba!

Ila kuna siku gas imeisha nikaanza kuhangaika na mkaa
Sijui why ile plate ya umeme haipo kwenye mawazo yangu
 
Back
Top Bottom