Naona BBQ ipo on fleek
Aah naona mnajiona kama wazungu vilee
Mkuu naona unakula kama wazungu...kidogo but balanced nutrientsKaribuni View attachment 800896
Karibuni View attachment 800896
Naam!!usiku huu kulimbikizia ma vyakula mengi haifaiMkuu naona unakula kama wazungu...kidogo but balanced nutrients
Ndio chakula nacho kielewa sana naweza kula siku hata 7Harage limekolea nazi hadi raha
Ndio chakula nacho kielewa sana naweza kula siku hata 7
Wewe mtu Wa pwani nin maana wengi hupendelea hivoMi pia harage lenye nazi napenda sana
Hopefully,ulimpima kwa rula kwanza,kabla ya kumla huyu samaki
Wewe mtu Wa pwani nin maana wengi hupendelea hivo