Uzi wa vyakula tu

Eee haraka haraka nisikosea zahanat ya kijiji ikaniponza
Ila kibembe na mjomba wake wananichekesha sanaa hawapatanii dada mtu inabidi amtetee mdogo wake
Kumbe mama Mwazani shida yake ni njaa

Ndo maana anamtarget Ombeni

Eti nyota yako mwanangu naiona Kwa yule daktari


Mimi napenda mahaba ya Masalu Kwa Tausi

Li Masalu lina wivu hadi basi.


Shost, huku watatufukuza na hizi mada
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…