Living Pablo
JF-Expert Member
- May 17, 2020
- 3,826
- 11,647
Uko ndo nilipozaliwa hunambii kitu kwenye hyo mbogaDagaa nawapenda sana kula na ugali ila nao pia siwatumii sana
Chakula ninachokula sana ni wali maharagwe yenye nazi
Hii mubashara kabisa tatizo usikae jirani na watu maana utakua na mabomu ya Kandahar na Allepo ya kutosha tumboni😁
Maziwa yaliyochemshwa mchawi wakoNielekeze kidogo
Maana mm nilinunua maziwa yaliyochemshwa
Nikatengeneza parachichi nikaweka na vanilla kidogo naweka kwenye friji kuja kunywa nilitema yote sijui nitakuwa nimekosea wapi ningepata mgeni ingekuwa aibu
Wale wabichi wakikaangwa ukinunua wa moto pale kamanga...ni watamu balaa na ugali
Ni ile njano yaleView attachment 2494398
Haya Maharage ni kama yana sukari ukiyala from mbeya.
Nawaza kuenda kutambaa na hii ndizi sina🤔
Hili dagaa safi sana, nimelikubali kwa 90%
Wale wabichi wakikaangwa ukinunua wa moto pale kamanga...ni watamu balaa na ugali
Shida inakuja unanunua kisado kizima ukae nacho mwezi ila baada ya wiki 2 zimeisha tena kwa kutafuna tu
Hii mubashara kabisa tatizo usikae jirani na watu maana utakua na mabomu ya Kandahar na Allepo ya kutosha tumboni
Ni ile njano yale
Nyama laini kama supu ya mapupuPilau la kwenda.View attachment 2510513