martial jb
JF-Expert Member
- Oct 21, 2021
- 864
- 1,463
Hii kitu unaweza ambiwa ni si chini ya 30,000
Hii kitu unaweza ambiwa ni si chini ya 30,000
Hizi sifa sasa
Nimefilisika Sina vifaa 😂😂😢Anne Bakery..
Mbona hatuoni mikate,cake?..umefilisika?
Sawa..nitakufungulia Fremu Makumbusho au Mwenge..na tutaweka Bango kubwa "ANNE BAKERIES"..Nimefilisika Sina vifaa
Ninunulie basi Mangi.
NasubiriSawa..nitakufungulia Fremu Makumbusho au Mwenge..na tutaweka Bango kubwa "ANNE BAKERIES"..
naomba niwe muonjaji tu anneNasubiri
naomba niwe muonjaji tu anne
Karibu sana