babukijana
JF-Expert Member
- Jul 21, 2009
- 15,967
- 20,298
Kwa mafuta gani Sasa?kwani anakunywa karai zimaMafuta yanabaki mwilini kwa ndani,kwahyo moyo utajaa mafuta π
Mafuta ni mengi kaka kiepe kimoja ukikikamua vzuri kinatoa lita 10 za mafutaKwa mafuta gani Sasa?kwani anakunywa karai zima
Chinese hiyoView attachment 2403188
Menu ilikuwa inasomeka hivi: Beef, mushroom stir fried rice. Sahani ilikuwa sh 20,000. Ni kitamu sana.