Themann
JF-Expert Member
- Apr 15, 2022
- 3,845
- 16,094
Hongera Yao aiseeWamama wa kitanga
Hongera Yao aiseeWamama wa kitanga
Umkute anayeviwezea🙌Aliebuni hili chakula popote alipo salute View attachment 2372157
Alafu visizidi mafuta daaah upate maharage ya Nazi mazito unakula deli zimaUmkute anayeviwezea![]()
We dada kimuonekano utakuwa ni mwembamba aisee.
Ndo nautafuta huo wembamba hata haunielewi 😵💫We dada kimuonekano utakuwa ni mwembamba aisee.
Ugali mbona mdogo hivyo?