binti kiziwi
JF-Expert Member
- Aug 4, 2014
- 13,119
- 34,435
Wewe tu na miguu yako mkuu, napatikana viunga vya nyumbani kila siku jioni na wikiend zote 😀Nikaribishe kwako basi binti kiziwi maana so kwa ufundi huo wa jikoni
Wewe tu na miguu yako mkuu, napatikana viunga vya nyumbani kila siku jioni na wikiend zote 😀Nikaribishe kwako basi binti kiziwi maana so kwa ufundi huo wa jikoni
Nikipika tena nakukaribisha mami 😀
Ninaweza kumaliza zote pekeyanguNikipika tena nakukaribisha mami 😀
Home made hi IRais wa Kenya ameshaapa tayarView attachment 2357014

Me huwaga unanikosha hapo tu Lizzy
Na kinaendana na Chai ya rangi.