Maziwa ya lita 1, chukua tende za ¼ kilo,
Toa kokwa za tende ibaki ile nyama ya tende

yenyewe, kisha ziloweke kwenye maziwa unaweza kucha kwa muda au ukasaga hapo hapo
Ikikupendeza unaweza weka ndizi
Unaweza sagia na karanga, korosho, wemgine hadi mihogo.
Binafsi napenda kuweka karanga ama korosho baada ya kuwa nishasaga juice, ndio naweka karanga ama korosho
Umenikumbusha ngoja nikaitoe kwenye friji niigide

Mambo ya dumu la lita 5 kukaa mwezo mzima ni wakishua
Sisi wa USWAHILINI MATOLA siku 3 tu, juisi kama maji