Uzi wa vyakula tu

Uzi wa vyakula tu

Attachments

  • IMG_20220807_171415.jpg
    IMG_20220807_171415.jpg
    563 KB · Views: 20
Maziwa ya lita 1, chukua tende za ¼ kilo,
Toa kokwa za tende ibaki ile nyama ya tende 😋 yenyewe, kisha ziloweke kwenye maziwa unaweza kucha kwa muda au ukasaga hapo hapo
Ikikupendeza unaweza weka ndizi 🍌

Unaweza sagia na karanga, korosho, wemgine hadi mihogo.

Binafsi napenda kuweka karanga ama korosho baada ya kuwa nishasaga juice, ndio naweka karanga ama korosho 😋

Umenikumbusha ngoja nikaitoe kwenye friji niigide😂
Mambo ya dumu la lita 5 kukaa mwezo mzima ni wakishua
Sisi wa USWAHILINI MATOLA siku 3 tu, juisi kama maji 😂
Nifundishe na mimi
 
Asante😂
 
Maziwa ya lita 1, chukua tende za ¼ kilo,
Toa kokwa za tende ibaki ile nyama ya tende yenyewe, kisha ziloweke kwenye maziwa unaweza kucha kwa muda au ukasaga hapo hapo
Ikikupendeza unaweza weka ndizi

Unaweza sagia na karanga, korosho, wemgine hadi mihogo.

Binafsi napenda kuweka karanga ama korosho baada ya kuwa nishasaga juice, ndio naweka karanga ama korosho

Umenikumbusha ngoja nikaitoe kwenye friji niigide
Mambo ya dumu la lita 5 kukaa mwezo mzima ni wakishua
Sisi wa USWAHILINI MATOLA siku 3 tu, juisi kama maji

Back
Top Bottom