Hilo bondo ulimaliza mami lolo au mlilipiga mande?hapo mtu hata 10 mnaondoka safi tu.Mkuje tuleView attachment 2157130
Hapo juice fanta orange ataomba poo😋View attachment 2157925
Kambi popote....
Instructor kaniambia niache kula red meet, ndio nimeagana nayo leo.....😞😞
Natumai vita nitaiweza na kuishinda...😊.
Uzuri wa hii kitu uwe umetoka church unagonga hiyo inateremka swaafi ukitoka apo masanga waala hayana kokoro na wewe.
Kaugali kadogo hivoHilo bondo ulimaliza mami lolo au mlilipiga mande?hapo mtu hata 10 mnaondoka safi tu.
Km ulimaliza mwenyewe heshima kwa mzee kutuzalia chema.


nilkula mwenyewe yani.Jamii nzima tunayatamani Maandazi yako