Uzi wa vyakula tu

1642968429148.png
 
Dada angu mbona mim nikipika wali hauwi mtamu...natumia rice cooking machine...ila akijaga mtoto wa kike hapa wali huwa mtamu sana..sasa sjui nakwama wap .au napunja sana maj nin...

Sent using Jamii Forums mobile app

Balance ya maji na mafuta

Binafsi napikia Ile pressure cooker (multi cooker)
Ila sijawahi toa wali mbovu kabisa, gas pia napikia bila tabu

Shida ipo kwenye Ugali
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom