Mbona kwale huyu mkubwa sana..!?Ugali na kwareView attachment 2095215
"Rolex", nimekumbuka mbali sana. Hii combination ni kali sanaSimple hadi raha. Ningefanya rolex hiyo chapati na mayai![]()
Yesuuu. Wali, maharage, sausage na coca! 😥😥Karibuni wakuu.View attachment 2097298
Ndio ugonjwa wako au nimezingua Best!?.Yesuuu. Wali, maharage, sausage na coca!![]()