Hicho kisamvu umepikia nazi au karanga?
Anaitwa Kikande, kwa jina maarufu SharifuHuyu anaitwa nani?
Huwa natamani kwenda kunduchi kukusanya samaki stock ya home
Ila sijui aina ya samaki, kuna wengine wana shombo kali na tasteless
Na wale wauzaji hawawezi kusema ukweli![]()
Ni Karanga MkuuHicho kisamvu umepikia nazi au karanga?
Hii ni mboga halafu ni tibaView attachment 2062995



mimi sio msambaa ila mtu wa tanga
Wewe ni msambaa .. Ndio yenyewe hiyo
Hii ni mboga halafu ni tibaView attachment 2062995
SharifuAnaitwa Kikande, kwa jina maarufu Sharifu

Nyama inaonekana tamu hii. Sio jembe kweli.