Ningesema asante ila sio juhudi zangu 😏Unajua kupika, yaani shemeji anafaidi kweli
Nipo kwenye gari natokea Makumbusho, vipi upo?
Yeahh 😁😁Nipo kwenye gari natokea Makumbusho, vipi upo?
Nishukie Mbagala ipi?Yeahh
Ukikaribia niambie nisogee kituoni![]()
Mnataka kuboost immunity?😁😁😁Nishukie Mbagala ipi?
Amenambia kwake ana godoro la kioo, ndio nataka nikalione!Mnataka kuboost immunity?![]()















We bwana...kila siku nakuelekeza tu???Nishukie Mbagala ipi?
Akili yangu ina mambo mengi, kila siku nakisahau kituo najikuta nipo Mbande!We bwana...kila siku nakuelekeza tu???
















Kachori zinavutiaHali ya hewa inaruhusuView attachment 2043025