Darmian
JF-Expert Member
- Oct 1, 2017
- 17,299
- 46,753
Utamu kunogaPakua weka kwenye sahani kwanini unakula kwenye sufuria?



Aisee nimetamaniiiii

Duuuuh!, Hii noma. Vyote ni vitu hatarishi


Mlo wa kutamanisha.
Karibu tusaidiane kutoa mbeguToa mbegu za ndimu mwenye rosti hiyo au utazichambulia mdomoni?
Duh!Karibu tusaidiane kutoa mbegu
Lakn mwenzio huzitafuna