









.Pole sana! Siku nyingine unikubalie lile ombi langu nimalizane na kaka yako!![]()

Mimi kuna point inafika siwezi kula kumaliza hata iweje.Sa tutanenepajeinabidi uweze kumaliza sio kumwaga kwan wanaoweza hua wanawezaje,,,wanajitahidi tu
![]()
Mungu aingilie katiJana sikuwa na tunda lolotetuongeze sahani mbili za matunda hapa

Kinatamanisha kuliwaCha mchana! View attachment 1971788
SanaaKinatamanisha kuliwa
