Aaaah aunt jmn jitahid kidogo kuongeza kipimousiogope
auntie chakula kipo kingi sana....mimi huwa napakua ninachoweza kumaliza tu.
Mwe chakula kidogo Sana hicho duh.


Aaaah aunt jmn jitahid kidogo kuongeza kipimousiogope
auntie chakula kipo kingi sana....mimi huwa napakua ninachoweza kumaliza tu.


Inabidi tunenepe AuntieAaaah aunt jmn jitahid kidogo kuongeza kipimo
Mwe chakula kidogo Sana hicho duh.![]()
Ndio auntie lkn sio kwa mwendo huu angalau chakula kiwe kingi kidogoI
Inabidi tunenepe Auntie
![]()

Nikipakua kingi simalizi mweee,,,naogopa sana kumwaga chakula.Ndio auntie lkn sio kwa mwendo huu angalau chakula kiwe kingi kidogo
Na kula hata iwe mara tano kwa siku![]()
UbugebugeSijawahi kuchoka Vishomboshombo.
![]()

Mambo yangu, ndio maana sipungui😄
Siku unaamka mlango unakuwa mdogo hauwezi kupita ndio utakoma 😂Mambo yangu, ndio maana sipungui😄