Chaliifrancisco
JF-Expert Member
- Jan 17, 2015
- 26,527
- 81,250
Pole kwa kichapo mkuu...![]()
Nipo samaki samaki nasubiria bruce lee niende taifa kushangilia yanga
Pole kwa kichapo mkuu...![]()
Nipo samaki samaki nasubiria bruce lee niende taifa kushangilia yanga
Hata panzi wa kuchomaNilipiga dash nilikua pori hamna msosi
Huko maji tu labda na matunda ya kuotea oteaHata panzi wa kuchoma

Ungetushilikisha japo hayo hayoHuko maji tu labda na matunda ya kuotea otea![]()
![]()
UsijaliUngetushilikisha japo hayo hayo
Uliechoma hizi chapati naomba kujua unapatikana wapi? Au zinapatikana wapi mana huu utaalam nime upenda.

Hivi ulinambia kwako ndio wapi vile?

Nahisi utanifukuza, maana deile nitakuwepo














Uliechoma hizi chapati naomba kujua unapatikana wapi? Au zinapatikana wapi mana huu utaalam nime upenda.![]()
![]()
nipo Sithole countryHivi ulinambia kwako ndio wapi vile?Nahisi utanifukuza, maana deile nitakuwepo
![]()

Nishawahi kupasikia nielekeze tu nitafika. .![]()
![]()
nipo Sithole country
Wanaume wa Dar bwana, halafu hapa watakuja kulalamika kuwa pumbu zimekufa na hawana tena nguvu za kiume. Zingatieni ulaji jamani.
Mambo ya minadani
Kitunguu saumu ndimu na asali mbichi